Christ in Song Christ in Song Swahili

Nyimbo Za Kristo · Christ in Song Swahili

164. Unakaribia Wakati

1
Unakaribia wakati wa kuja kwa Yesu,
Atawachukua watu wake nyumbani juu.

*CHORUS
Tunaiona mishale ya nuru inayopenya giza,
Tunaiona mishale ya nuru ya ufufuo.
*
2
Injili inatangazwa pote kwa mataifa,
Bwana wa Arusi atakuja na tarumbeta.

3
Pamoja na malaika zake Bwana arudi,
Awapeleke waaminifu wasife tena.

4
Wapenzi waliotengwa kale watakutana,
Machozi yao wenye huzuni yatafutika.

Help keep these hymns free

Your donation can help maintain the website, improve accessibility and keep the hymns freely available.

Hymn details

Hymnal: Nyimbo Za Kristo

Search name: Christ in Song Swahili

Language: Swahili

Hymn number: 164

Permanent page: number and title URL

This page preserves Unakaribia Wakati as Hymn 164 in Nyimbo Za Kristo. It is part of the Christ in Song Swahili collection within a multilingual Adventist hymn archive built for reading, searching, sharing and comparing hymn traditions across languages.

Use the previous and next buttons to continue through this hymnal, or return to the collection page to search by number and title. The reading tools above let you adjust text size, save favourites and share the hymn with others.

Reading and preservation note

Historic and regional hymn texts can contain spelling differences, older punctuation, local wording and transcription variations. This archive keeps the hymns searchable while allowing future corrections and improvements to be made carefully.