Christ in Song Christ in Song Swahili

Nyimbo Za Kristo · Christ in Song Swahili

3. Mungu Atukuzwe

1
Mungu atukuzwe, kwa mambo makuu,
Upendo wake ulitupa Yesu,
Aliyejitoa maisha yake,
Tuwe nao uzima wa milele.

*CHORUS
Msifu, msifu, dunia sikia,
Msifu, msifu watu wafurahi,
Na uje kwa Baba, kwa Yesu Mwana,
Ukamtukuze kwa mambo yote.
*
2
Wokovu kamili, zawadi kwetu,
Ahadi ya Mungu kwa ulimwengu,
Wanaomwamini na kuungama,
Mara moja wale husamehewa.

3
Alitufundisha mambo makuu,
Alihakikisha wokovu wetu,
Lakini zaidi ajabu kubwa,
Yesu atakuja na tutamwona.

Help keep these hymns free

Your donation can help maintain the website, improve accessibility and keep the hymns freely available.

Hymn details

Hymnal: Nyimbo Za Kristo

Search name: Christ in Song Swahili

Language: Swahili

Hymn number: 3

Permanent page: number and title URL

This page preserves Mungu Atukuzwe as Hymn 3 in Nyimbo Za Kristo. It is part of the Christ in Song Swahili collection within a multilingual Adventist hymn archive built for reading, searching, sharing and comparing hymn traditions across languages.

Use the previous and next buttons to continue through this hymnal, or return to the collection page to search by number and title. The reading tools above let you adjust text size, save favourites and share the hymn with others.

Reading and preservation note

Historic and regional hymn texts can contain spelling differences, older punctuation, local wording and transcription variations. This archive keeps the hymns searchable while allowing future corrections and improvements to be made carefully.