Christ in Song Christ in Song Swahili

Nyimbo Za Kristo · Christ in Song Swahili

37. Pendo Lako Ee Mwokozi

1
Pendo lako Ee Mwokozi, hushinda pendo zote,
Kaa nasi ndani yetu, furaha ya mbinguni,
Yesu u rehema tupu, safi na kusamehe,
Mfariji mwenye huzuni, yaondoe machozi.

2
Roho yako ya upendo, tuma kwa kundi lako,
Hebu tuirithi raha, iliyoahidiwa,
Uondoe moyo mbaya, u mwanzo, tena mwisho,
Timiza imani yetu, ili tuwekwe huru.

3
Yesu uje kwetu sasa, tupokee huruma,
Rudi kwetu tena kamwe, usituache pekee,
Tungekutukuza leo, pamoja na malaika,
Imba na kutoa sifa, ingia kwa ibada.

4
Sasa Bwana kazi yako, imalize moyoni,
Takasa hekalu lako, wokovu kamilisha,
Safisha viumbe vyako, katika wakati huu,
Tupumzike toka dhambi, tuingie mbinguni.

Help keep these hymns free

Your donation can help maintain the website, improve accessibility and keep the hymns freely available.

Hymn details

Hymnal: Nyimbo Za Kristo

Search name: Christ in Song Swahili

Language: Swahili

Hymn number: 37

Permanent page: number and title URL

This page preserves Pendo Lako Ee Mwokozi as Hymn 37 in Nyimbo Za Kristo. It is part of the Christ in Song Swahili collection within a multilingual Adventist hymn archive built for reading, searching, sharing and comparing hymn traditions across languages.

Use the previous and next buttons to continue through this hymnal, or return to the collection page to search by number and title. The reading tools above let you adjust text size, save favourites and share the hymn with others.

Reading and preservation note

Historic and regional hymn texts can contain spelling differences, older punctuation, local wording and transcription variations. This archive keeps the hymns searchable while allowing future corrections and improvements to be made carefully.